Sunday 12 October 2014

EURO 2016 QUALIFYING: POLAND YAILAZA GERMANY KWA MARA YA 1


Kwa mara ya 1 Poland imeichapa Ujerumani 2-0 kwenye game ya kufuzu kuingia Euro 2016...Mechi hiyo imekuwa gumzo kwani mabingwa wa dunia walikuwa hawajawahi kufungwa na Ujerumani na pia kati ya mechi 33 za kufuzu undio wanachapwa...Mara ya mwisho Ujerumani kuchapwa ilikuwa October 2007 na Czech Republic 3-0...Poland sasa wanaongoza kundi lao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment