Tuesday 21 October 2014

ATHLETICS: OSCAR PISTORIUS MIAKA 5 JELA


Mwanariadha maarufu duniani ambae ni kilema na mtu wa kwanza mwenye kilema kushiriki mashindano ya Olympics na Paralympics, Oscar Pistorius, amehukumiwa kifungo cha miaka 5...


Pistorius alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwenye nyumba ya Pistorius huko Afrika ya Kusini...


Dunia nzima ilisimama ikiangalia na kumsikiliza Jaji Thokozile Masipa akimhukumu Pistorius kwenda jela miaka 5 huku akimsamehe miaka 3 ya kutumia silaha ovyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment