Monday 6 October 2014

EPL: ARSENAL YAZEMBEA NA KUIACHIA CHELSEA POINTS 3


Katika game liyokuwa inasubiriwa sana ni hii iliyofanyika London kati ya timu 2 maarufu mji huo...Game yenyewe ilikuwa sio kali kwani pande zote 2 hazikucheza mpira wa kusisimua mashabki lakini uzembe wa mabeki wa Arsenal umewapa ushindi Chelsea...Mechi ilikuwa na matukio mengi na tukio la kwanza lilikuwa kutolewa kwa kipa wa Chelsea baada ya kuumia kutokana na kugongana vichwa na Sanchez...Kipa Thibaut alikimbizwa hospitali na hali yake inaendelea vizuri...


Tukio lingine lilikuwa la Wenger kumsukuma Jose wakati Jose akijaribu kulalamika kwa mwamuzi wakati Sanchez ndio aliyekwatuliwa na pia mwishoni hawakuagana...Labda tukio la kiufundi lilikuwa la goli la 2 la Diego Costa...Goli ilikuwa safi kwani aliweza kutupa mpira juu ya kipa na kutingisha nyavu...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment