Saturday 25 October 2014

SWISS INDOORS: RAFA NADAL ACHAPWA SETI ZOTE NA DOGO BORNA CORIC

Borna Coric
Bingwa wa tennis Rafa Nadal amechapwa straight sets na dogo Borna Coric mwenye umri wa miaka 17 tu kwenye michuano ya Swiss Indoors...Nadal alichapwa 6-2 7-6 (7/4) na kutangaza amemaliza msimu na atafanyiwa operaton ya appendix November 3...

Rafael Nadal
Rafa atakosa World Tours Final na Paris Masters kutokana na kutokuwa fit hasa mikono inamsumbua na sasa appendix inabidi itolewe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment