Bingwa wa dunia mara 4 Sebastian Vettel ameamua kuhamia Ferarri...Vettel atachukua nafasi ya Fernando Alonzo ambae anahamia McLaren...Nafasi ya Vettel itachukuliwa na mrusi kutoka Toro Rosso Daniil Kvyat...Vettel amekuwa supported na Red Bull toka anamiaka 12 sasa ameamua kufanya kitu kipya na hasa alivyoona mwenzake wa Red Bull Ricciardo akiendelea kufanya vizuri mwaka huu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 4 October 2014
F1: VETTEL KUHAMIA FERRARI
Bingwa wa dunia mara 4 Sebastian Vettel ameamua kuhamia Ferarri...Vettel atachukua nafasi ya Fernando Alonzo ambae anahamia McLaren...Nafasi ya Vettel itachukuliwa na mrusi kutoka Toro Rosso Daniil Kvyat...Vettel amekuwa supported na Red Bull toka anamiaka 12 sasa ameamua kufanya kitu kipya na hasa alivyoona mwenzake wa Red Bull Ricciardo akiendelea kufanya vizuri mwaka huu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment