Monday 20 October 2014

EPL: LIVERPOOL YAZAWADIWA MAGOLI NA QPR


Game ya Liverpool dhidi ya QPR ilikuwa kali huku QPR ndio waliokuwa wakiwapeleka mbio Liverpool muda mrefu lakini QPR walijichanganya kwa kujifunga ovyo...Goli la 1 Liverpool wanapata lilikuwa  la Richard Dunne kujifunga na ni goli la 10 la kujifunga ambayo ni rekodi...


Coutinho aliipatia bao la 2 Liverpool dakika ya 90 na Liverpool walizawadiwa bao la 3 la bure na Caulker huku kocha wa QPR akiangaalia angani na kujiuliza maswali mengi zana, "yaani hata kapointi tumeshindwa kupata?...QPR bado iko mkiani na inabidi waanza kujipanga maana itakula kwao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment