Monday 13 October 2014

VPL: SIMBA NA ORLANDO PIRATES NGOMA DRAW


Mtani jembe kutoka Msimbazi Dar es Salaam wametoa draw ya 0-0 na timu kubwa ya South Africa Orlando Pirates...Simba wameweka kambi South Africa wakijiandaa na mechi kubwa na watani wao wakubwa Dar es Salaam Young Africans weekend ijayo...Habari kutoka bondeni zinasema Simba wamejitahidi kucheza mpira safi na kuwatuliza Pirates...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment