Sunday 19 October 2014

VPL: YANGA NA SIMBA NGOMA DRAW

Kipa akinyaka ball...(Source: Matukio-Michuzi)
Watani wa jadi Yanga na Simba jana walitoka sare bila mabao mbele ya mashabiki wengi sana waliofurika kwenye uwanja wa Mkapa...Mechi ilikuwa kama ya kupinama nguvu kwani kuna wakati Simba walikomaa mapema lakini walitoka kapa...


Pia Yanga walitengeneza chances lakini kipa wa Simba Manyika ambae ni mtoto ya mchezaji (kipa) wa zamani wa Yanga Peter Manyika alikuwa makini langoni kwani dakika ya 14 Jaja alileta matata golini lakini Manyika aliweza kudaka vizuri...


Hii ni draw ya 3 mfululizo kwa timu ya Simba na wanahitaji points 3 maana wataachwa nyuma sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment