Thursday 9 October 2014

EPL: OZIL NJE WIKI 12


Mesut Ozil atakuwa nje wiki 12 baada ya kuumia goti...Aliingia kambini na timu yake ya taifa ya Ujerumani lakini madaktari kupitia website ya shirikisho la mpiraa Ujerumani wamesema kutokana MRI scan ambayo inaonyesha amechana goti kwenye kiunganishi mguu wa kushoto inabidi asicheze kwa wiki 10 mpaka 12...Ozil alilalamika kuhusu goti kwenye mechi ya Arsenal na Chelsea ambayo alicheza dakika 90...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment