Sunday 12 October 2014

SHANGHAI MASTERS FINAL: FEDERER ATINGA FAINALI NA GILLES SIMON


Gilles Simon ambae ni unseeded au hayuko katika namba ambazo zinaonyesha nafasi ya umahiri duniani atacheza fainali leo Jumapili na bingwa wa zamani Roger Federer...


Federer nae alimtoa bingwa wa dunia Novac Djokovic kwenye nusu fainali ya michuano hiyo...Simon sasa ataingia top 20 kutokana na kuimarika kwa mchez wake baada ya kumtoa Feliciano Lopez kwenye nusu fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment