Friday 24 October 2014

BOXING: PAMBANO LA KWANZA KABISA LA UBINGWA WA DUNIA LA MIKE TYSON


Pambano la kwanza kabisa la Mike "Kid Dynomite" Tyson la mkanda wa WBC lilikuwa na Trevor Berbick ambae alikuwa anaujuzi zaidi ya Tyson kipindi hicho...

Tyson alikuwa anamiaka 20 tu alipishinda ambano hilo na Tyson anahikilia rekodi ya kushinda mikanda ya WBA, WBC na IBF akiwa na umri wa miaka 20.

Hapo chini anagalia pambano lake la kwanza akiwa na Trevor Berbick mwaka 1986.


No comments:

Post a Comment