Monday 27 October 2014

EPL: MANCHESTER UNITED YACHOMOA MWISHONI


Robin van Persie ndie aliyewaokoa Manchester United dakika za mwisho kabisa za majeruhi jana usiku na kufanya uwanja mzima wa Old Trafford kuamka na kushangilia sana...Chelsea walionekana kuwa ndio washindi baada ya Didier Drogba kupachika bao dakika ya 53 na kucheza mpira safi kuliko Man U...Drogba anapata bao kwa mara ya 1 toka March 2012...Sasa Chelsea wako mbele kwa points 4 wakifuatiwa na Southampton...Chelsea ndio timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment