Thursday 30 October 2014

LEAGUE CUP: MAN CITY YACHAPWA NA NEWCASTLE


Manchester City wamechapwa 2-0 na Newcastle United na kutolewa nje ya League Cup...Timu ya Newcastle yenye vijana wengi ilianza mapema kupata bao kupitia kwa Ronaldo Aarons dakika ya 6...Moussa Sissoko nae akamalizia kiindi cha 2 dakika ya 75....Sasa wataasafiri na kukutana na Tottenham wakiitafuta nusu fainali toka 1975-1975...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment