Tuesday 14 October 2014

NYERERE MASTERS: KADIO BINGWA


Pro golfer Hassan Kadio amenyakua kombe la kumbukumbu  ya baba wa taifa Mwalimu Kambarage Nyerere katika viwanja vya Dar es Salaam Gymkhana Club...Kadio alicheza na professionals na amateurs kwenye michuano hiyo mikali iliyodhaminiwa na NMB...Haikuwa rahisi kwani mwisho wa round ya kwanza alijikuta yuko sare na Pembe Kondo +1 72 na Captaain kutoka Moshi Frank Roman alipata 73 Gross...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment