Tuesday 21 October 2014

NFL: PEYTON MANNING AMEVUNJA REKODI YA BRETT FAVRE YA TOUCHDOWN PASSES


QB Peyton Manning ameivunja rekodi iliyowekwa na Brett Favre ya touchdown passes na alipita rekodi hiyo kwenye game kati ya Denver Broncos na San Fransisco 49ers ambayo Broncos walishinda 47-17...Bofya hapa upate takwimu za NFL.




No comments:

Post a Comment