Wednesday 15 October 2014

EPL: GHARAMA ZA KUANGALIA MPIRA UWANJANI ZIMEZIDI GHARAMA ZA MAISHA


Kuangalia mpira uwanjani au kununua season tickets Uningereza ni gharama sana...Study inayofanywa na BBC Sport kila mwaka inayojulikana kama 'Price of football' inasema Uingereza bei za kuangalia mpira msimu mzima ni karibu na mara 4 ya Ugerumani...Kwa mfano msimu mmoja Ujerumani mtu anaweza kulipa pound 138 lakini Uingereza kwa msimu zinafika pound 508...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment