Mambo sio mambo kwani Murray sasa anapoteza nafasi ya kuingia ATP Finals baada ya kuchapwa na David Ferrer katika michuan mikali ya Shanghai Masters...Andy Murray alichapwa 2-6 6-1 6-2 katika round ya 3 ya Shanghai Masters...Mspanish huyo Ferrer sasa amempita Murray kwenye mbio za kuelekea ATP Finals...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 9 October 2014
SHANGHAI MASTERS: FERRER AMCHAPA MURRAY
Mambo sio mambo kwani Murray sasa anapoteza nafasi ya kuingia ATP Finals baada ya kuchapwa na David Ferrer katika michuan mikali ya Shanghai Masters...Andy Murray alichapwa 2-6 6-1 6-2 katika round ya 3 ya Shanghai Masters...Mspanish huyo Ferrer sasa amempita Murray kwenye mbio za kuelekea ATP Finals...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment