Wednesday 22 October 2014

CHAMPIONS LEAGUE: BAYERN YAIRARUA ROMA


Bayern Munich wameibugiza AS Roma mabao 7-1 kwenye mechi ambayo kwa mara ya kwanza kwenye mashindano ya Ulaya Bayern wanapata mabao mengi kama hayo...


Bayern sasa wanaongoza kundi E kwa points 5 na wako mbele ya Manchester City mbao walishindwa kushinda mechi yao dhidi ya CSKA Moscow ambayo walikuwa wanaongoza lakini wakaishia draw 2-2...Bayern walikuwa makini kwani possession ilikuwa 66% na shots on goal 22...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment