Thursday 16 October 2014

HALLAM FC: KOMBE LA ZAMANI KULIKO YOTE HALIUZWI


Mwenyekiti wa club ya Hallam FC Chris Taylor amesema kombe ambalo ni la zamani kuliko yote haliuzwi...Taylor alisema hilo kombe gharama yake ni kubwa sana na haliwezi kuwekewa thamani...


Kombe hilo la silver walikabidhiwa Hallan FC February 1867 baada ya mashindano ya timu za Sheffield kushindana katika kombe la ligi iliyikuwa ikijulikana kama Youdan Cup...Youdan Cup ilikuwa kabla ya FA CUP haijaanzishwa na timu zilikuwa 12...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment