Wednesday 15 October 2014

MASHINDANO YA BAISKELI: BINGWA WA KANDA YA MWANZA

Duba (kulia) akiwa na wenzake...

Bingwa wa mbio za baiskeli kanda ya ziwa ni Masunga Duba...Duba ni mkali sana wa mbio za baiskeli anatokea Ilemela Mwanza...Hivi karibuni alitumia masaa 4 dakika 13 kwa umbali wa kilometer 156.5...Endelea kufuatilia Max Sports upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment