Tuesday 7 October 2014

F1: JULES BIANCHI BADO HALI SIO NZURI HOSPITALINI


Dereva wa Murrusia Jules Bianchi bado haliyake sio nzuri hospitalini toka apate ajali kwenye Japanese Grand Prix jumapili iliyopita...Bianchi alipata ajali mbaya baada ya gari yake kuingia chini ya gari ambayo ilikuwa inasaidia gari nyingine ya dereva Sutil iliyopata ajali...Mvua nyingi na giza zilisababisha ajali hiyo...


Bianchi alipelekwa kwenye hositali ya karibu na kufanyiwa upasuaji na sasa hali yake bado sio nzuri lakini iko stable...Bianchi mfaransa mwenye umri wa miaka 25 hawezi kupumua pekeyake na anatumia machine kupumua...Baada ya ajali hiyo Japanese GP ilisimamishwa na Lewis Hamilton alitangazwa mshindi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment