Friday 10 October 2014

F1: MARRUSIA KUENDESHA GARI 1 KWA HESHIMA YA JULES BIANCHI


Timu ya Marrusia imesema itaendesha gari moja kwenye Russian GP kwa heshima ya dereva wao Jules Bianchi ambae anapigania maisha yake hospitalini baada ya kupata ajali mbaya Suzuka Marrusia wametengeneza gari la 2 lakini litakaa sehemu ya Bianchi anapopaki kwa muda wote mpaka Russian GP imalizike na wataweka bango litalosoma "#JB17" kuonyesha kuwa wako nae pamoja...Madereva wote watakuwa na lebo kwenye helmet zao zikionyesha "Tous avec Jules #17) (wote pamoja na Jules)...Bofya hapa .upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment