Thursday 16 October 2014

AFCON 2015: ALGERIA YA KWANZA KUINGIA AFCON FINALS MWAKANI


Algeria imefanikiwa kuwa timu ya kwanza kuingia AFCON 2015 baada ya kuichapa Malawi 3-0...Bao la kwanza lilikuja mapema sana baada ba Slimani na Brahimi wa Porto kupiga one-two na Brahimi kuchapa bao pembeni mwa 18...Bao la pili lilitoka kwa Riyad Mahrez anayechezea timu ya premiership Leicester City daika ya 45...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment