Thursday 16 October 2014

AWC 2014: CAMEROON YATINGA NUSU FAINALI


Cameroon yailaza Algeria 2-0 na kuingia nusu fainali ya kombe la wanawake la Africa...Deborh Enganamouit ndio aliyekuwa kinara wa magoli baada ya kupachika yote 2 kipindi cha 1 na cha 2...Sehemu nyingine Ghana na Banyana Banyana wametoka sare 1-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment