Monday 6 October 2014

RUGBY CHAMPIONSHIP: SOUTH AFRICA YAICHAPA NEW ZEALAND KATIKA MECHI KALI SANA

Patrick Lambie akipiga mpira wa ushindi...
South Africa imeonyesha kuwa na wao ni mabingwa wa Rugby baada ya kuichapa New Zealand 27-25 ambao hawajachapwa toka December 2012...New Zealand wamesimamishwa na Springbok baada ya kushinda mech 22 mfululizo na mechi ya mwisho kufungwa ilikuwa dhidi ya England huko Twickenhan...


Richie McCaw aweka rekodi mpya ya
 international appearance...hapa yuko na kocha Steve Hansen
All Blacks waliingia Ellis Park kifua mbele kwani kati ya mechi 10 Springbok walishinda 1 dhidi ya All Blacks...Lakini kipindi hiki Sringbok walikomaa na kucheza Rugby safi na baada ya half-time Springbok walikuwa mbele points 11...



Ushindi ulipatikana mwishini wakati Patrick Lambie alipofunga goli la penalty...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment