Sunday 12 October 2014

F1: ANGALIA TRACK MPYA YA F1 HUKO SOCHI


F1 mwaka huu imepata track mpya huko Sochi Autodrome Urusi...


Leo ndio wanashindana rasmi baada ya majaribio ambayo Lewis Hamilton ameibuka na kuchukua pole position...Hapo chini angalia jinsi team ya Williams inavyo jaribu uwanja huu mpya...


No comments:

Post a Comment