Saturday 4 October 2014

LA LIGA: MESSI KUPANDA KIZIMBANI



Lionel Messi atapandishwa kizimbani kutokana na kesi yake ya kukwepa kodi inayofika milioni 4 euro...Jaji anayosikiliza kesi hiyo ametupilia mbali upande wa mashtaka uliotaka kesi itupiliwe mbali kutokana na kwamba issue za pesa za Messi alikuwa anafuatilia baba yake Messi...Messi na baba yake wamepewa siku 5 zakupinga uamuzi huo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment