Monday 27 October 2014

ROCK CITY MARATHON: JOSEPH PANGA AIBUKA MSHINDI


Mtanzania Joseph Panga ameibuka mshindi wa mbio za Rock City Marathon...Panga alitumia saa 1 dakika 02 na sekunde 36 akikimbia kilometa 21...Wapili alikuwa mkenya Sammy Nyokae na kwa upande wa wanawake watanzania wawili waliibuka kidedea...


Rock City Marathon ya 6 ni shughuli kubwa ya kuvutia utalii wa ndani iliandaliwa na Capital Plus International wakishirikiana na NSSF na Mwanza Hotel...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment