Wednesday 15 October 2014

VPL: MAXIMO ASEMA KIKOSI KIKO IMARA


Marcio Maximo kocha wa Yanga amesema kikosi kiko imara sana na 'Inshallah' watafanya mambo Jumamosi ijayo dhidi ya Simba SC...Nilikutana na Maximo na kikosi chake katika hotel mpya ya Land Mark iliyopo mitaa ya Jangwani beach...Simba wao wako South Africa wakijifua tayari kupambana na watani wao wakubwa Yanga...Tusubiri tuone nani ataibuka kidedea Jumamosi...

No comments:

Post a Comment