Wednesday 29 October 2014

LEAGUE CUP: CHELSEA YATOLEWA JASHO


Chelsea chini ya usimamizi wa Jose walitolewa jasho sana na kitimu cha ligi daraja ya 2...Shrewsbury walikuwa wanaonekana wako fiti kuliko chelsea katika game ambayo Chelsea wa form yao walitakiwa washinde kama 10 hivi lakini haikuwa hivyo...Kocha wa Chelsea anamshukuru veteran Didier Drogba kwa kuokoa jahazi na pia walizawadiwa goli la bure...Mourinho alikubali kuwa hali ilikuwa tete na walijaribu kushinda dakika 10 za mwisho...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment