Monday 20 October 2014

VIENNA OPEN: MURRY ACHUKUA KOMBE


Baada ya kutofanya vizuri sana bingwa wa Uingereza Andy Murry amefanikiwa kuchukua Vienna Open...Murry alimchapa David Ferrer 5-7 6-2 7-5 na alimvunja mara 3 set ya mwisho kabla ya kuserve na kuushinda...Murry sasa amempita Ferrer mbio za kuelekea London kucheza World Tour Finals ambazo zitachukua wachezaji 8 bora wa msimu wa tennis..Bofya hapa upaate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment