Friday 17 October 2014

ARUSHA GYMKHANA CLUB: LYMO AIBUKA MSHNDI TAN INSURANCE


Perfect Lymo amechukua kombe la Tan Management Insurance huko Arusha Gymkhana Club...Lymo alijitahidi kupambana na wakali wengine wa golf kwa kupata points 38...Lymo aliingia kwenye michuano hiyo akiwa na handicap ya 21 na ushindi huu umeshusha handicap yake mpaka 20...Miongoni mwa wakali wa gold alikuwepo veteran Mrisho Sarakikya na mwenyekiti wa club ya Arusha Gymkhana Tony Frisby...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment