Sunday 28 September 2014

VPL: SIMBA YAKWAA KISIKI TENA

Shaban Kisiga wa Simba akifukuzia mpira...
Wana Msimbazi Simba SC wameshindwa kunyakua points 3 kwa kutoka sare na Police ya Morogoro 1-1...Kikosi kilikuwa hakina kipa wao hodari Ivo Mapunda na mchezaji mpya Raphael Kiongera kwasbabu ni majeraha...Kipa Hussein Shariff alichezeshwa pamoja na mabeki Chollo na Mohamed Hussein...Simba walicheza vizuri midfield lakini kipindi cha 2 Police walikuwa moto zaidi kupitia Danny Mrwanda na Christopher Edward wakisaidiwa na Salum Machaku ambao walikuwa wachezaji wa zamani wa Simba waliweza kusababisha bao kupitia kwa Mohamed Adolf dakika ya 50...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment