Beki wa Arsenal Mathieu Debuchy atakuwa nje kwa miezi 3 baada ya kuumiza ankle alivyoanguka vibaya katika mechi ya Arsenal na Manchester City...Boss wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema operation ilienda vizuri lakini ni pigo kubwa kukosa beki makini lakini Calum Chambers ambae alisajiliwa kutoka Southamton kwa pound milioni 16 sasa ataziba pengo kwa muda mrefu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 23 September 2014
EPL: MATHIEU DEBUCHY NJE MIEZI 3
Beki wa Arsenal Mathieu Debuchy atakuwa nje kwa miezi 3 baada ya kuumiza ankle alivyoanguka vibaya katika mechi ya Arsenal na Manchester City...Boss wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema operation ilienda vizuri lakini ni pigo kubwa kukosa beki makini lakini Calum Chambers ambae alisajiliwa kutoka Southamton kwa pound milioni 16 sasa ataziba pengo kwa muda mrefu...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment