Thursday 18 September 2014

SPECIAL OLYMPICS 2014: MICHEZO INAENDELEA VIZURI HUKO ANTWERP BELGIUM


Special Olympics ni mashindano mbali mbali yanayohusisha vijana wa nchi tofauti duniani ambao hawajiwezi sana kiakili au kimaumbile...Mwaka huu michezo hii ambayo ni mikubwa sana kuliko yote ambayo yamewahi kufanyika anafanyika nchini Belgium na yalifunguliwa na Malkia Mathilde wa Belgium...


Washiriki watakuwa na nafasi ya kushindana kwenye michezo 32 ya kipekee na ya timu ambayo pia inasaidia kukuza uelewa duniani wa watoto au vijana wenye matatizo tofauti...Mpaka sasa team Ireland ndio wako juu na medals 15 na ribbons 10...Bofya hapa usome zaidi kuhusu Special Olympics.


No comments:

Post a Comment