Tuesday 16 September 2014

EPL: CHELSEA KUMBAKIZA HAZARD KWA DILI LA POUND MILIONI 50


Eden Hazard atapewa dili kubwa sana na Chelsea pounds 200,000 kwa wiki kwa miaka 5...Winga machachari wa Chelsea kutoka Belgium ameonyesha kuwa yeye ni ngome muhimu katika timu ya Jose na akisaidiana na vichwa vipya vya Diego Costa na Fabregas Chelsea itakuwa timu imara kwa muda mrefu kidogo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment