Tom Cleverley beki wa Manchester United amechukuliwa na Aston Villa kwa mkopo...Kwenye mkataba huo Manchester wanaweza kumchukua ikifika January kwenye dirish dogo la usajili au Aston Villa wanaweza kumchukua kimoja...Cleverley alikuwa mchezaji wa timu ya taifa lakini hakuchaguliwa mwaka huu kuichezea timu hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 3 September 2014
EPL: ASTON VILLA WAMWAZIMA TOM CLEVERLEY
Tom Cleverley beki wa Manchester United amechukuliwa na Aston Villa kwa mkopo...Kwenye mkataba huo Manchester wanaweza kumchukua ikifika January kwenye dirish dogo la usajili au Aston Villa wanaweza kumchukua kimoja...Cleverley alikuwa mchezaji wa timu ya taifa lakini hakuchaguliwa mwaka huu kuichezea timu hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment