Monday 1 September 2014

EPL: HERNANDES AJIUNGA NA REAL MADRID

Hernandez akiwa na rais wa Real Madrid Florentino Perez
Javier Hernandez striker wa Manchester United ameingia Real Madrid kwa mkopo wa msimu mzima...Real Madrid walikuwa wanahitaji kuimarisha forward line baada ya Alvaro Morata kuingia Juventus...Manchester United sasa wameimarisha safu ya mbele kwa kumchukua Falcao kwa mkopo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment