Tuesday 30 September 2014

EPL: PARDEW WA NEWCASTLE MAJI SHINGONI


Newcastle yapoteza mechi nyingine dhidi ya Stoke City baada ya Peter Crouch kupachika bao...Kifaa cha Newcastle Papiss Cisse alikuwa benchi kwenye mechi hiyo dhidi ya Stoke na akaingizwa kiaina badae...Allan Pardew kocha wa Newcastle sasa presha inapanda kwani hana ushindi hata 1 katika mechi 6 za premiership...

Habari ndio hiyo kutoka kwa mashabiki wa Newcastle...
Stoke ndio kwanza wanapata ushindi wao wa 1 nyumbani...Hali ni tete kwani pia Newcastle msimu uliopita walishinda mechi 25 tu na sasa hasira za mashabiki zimeanza kumgeukia kocha na asipoibadili timu na kuanza kushinda atajikuta nje ya uwanja...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment