Sunday 14 September 2014

BOXING: FLOYD MAYWEATHER AMSIMAMISHA MAIDANA TENA


Floyd "Money" Mayweather, Jr bado ni bingwa wa dunia ambae hajapoteza pambano hata 1...Mayweather hivi punde tu ametoka kushinda pambano la marudino na Marcos Maidana kutoka Argentina huko MGM Grand Las Vegas Marekani...Pambano hili lilikuwa linasubiriwa sana na wadau wa boxing dunia nzima wakwa na shauku ya kuona kama itakuwa mar ya kwanza Mayweather atatwangwa au la...


Pambano lilishuhudiwa na watu maarufu wengi akiwemo Warren Buffet...Mayweather ametengeneza dola milioni 32 na Maidana ametengeneza dola milioni 3 leo...Pambano halikuwa kali sana lakini Mayweather alikuwa makini kutojitokeza sana kwenye offence na pia alikuwa anakimbiakimbia sana...


Round ya 2, na ya 4 ilimsumbua sana Mayweather lakini baada ya hapo alitumia uzoefu na kuhakikisha jabs zinafika na body shots zinakuwa effective...Round ya mwisho Mayweather alikuwa hataki kuzichapa na alikuwa anakimbia tu na akakumbwa na makonde ya Maidana...Majaji walitoa score card ya 115-112, 116-112, 116-112 wote wakimpa Mayweather ushindi...Sasa "Money" anarekodiya 47-0, 26 KOs...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment