Sunday 7 September 2014

SIMBA SC: SIMBA YAICHAPA GOR MAHIA


Wana Msimbazi wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa wa Kenya Gor Mahia...Okwi alikuwa kwenye starting line-up na alikuwa akicheza pembeni ya Elius Maguri...Okwi alionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki lakini mabeki wa Gor walikuwa wabishi sana...Simba walishambuliwa sana na Gor lakini walishindwa kuvunja ngome ya Simba...Mchezaji mpya wa Simba Paul Kiongera alipata bao na pia Ramadhan Singano alipachika bao...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment