Sunday 28 September 2014

LA LIGA: BARCA YAISAMBARATISHA GRANADA


Msimu mpya unaenda vizuri kwa timu ya Barcelona baada ya kuibugiza Granada FC mabao 6-0...Dogo Neymar, Jr alifanikiwa kurudi nyumbani na mpira baada ya kupata hat-trick kwenye hiyo game...Lionel Messi alipata mabao 2 na Rakitic bao 1...Kocha mpya Luis Enrique ambaye alichukua timu kutoka kwa kocha kutoka Argentina Gerardo "Tata" Martino sasa amefanikiwa kuimarisha kikosi na wakiendelea na hii kasi ubingwa utapatikana mapema sana...Bofya hapa upate habari zaidi.




No comments:

Post a Comment