Thursday 4 September 2014

VPL: BENKI YA CRDB YATOA FURSA KWA TIMU YA YANGA


Dar es Salam Young Africans wamepata fursa ya udhamini ya benki ya CRDB...Makubalioano hayo yalitiwa saini CEO Charles Kimei na member wa bodi ya Trustees ya Yanga Mama Fatma Karume...


Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga nae alikuwepo kushuhudia tukio hili muhimu kwa club ya Yanga...CRDB watatoa kadi za Gold kwa wanachama wambazo wanaweza kufanya transactions nyingi tofuti...



Kupitia hiyo kadi mwanachama anaweza kulipia ada za uwanachama na club ikafaidika katika kuweka mambo yake ya kifedha vizuri mathlan club kuwa ya kisasa zaidi na kuendelea kuwa na nguvu ya kibiashara...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment