Saturday 6 September 2014

US OPEN: SERENA NDANI YA FAINALI


Serena Williams alichukua takriban saa moja tu kumgaragaaza Ekaterina Makarova...Makarova alichapwa 6-1 6-3 na sasa Serena atakutana na namba 10 duniani Caroline Wozniacki Jumapili...Serena anatafuta ushindi wa Grand Slam 18 na akifanikiwa itakuwa mara ya 3 mfululizo anashnda US Open...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment