Monday 29 September 2014

VPL: YANGA YAWAKIMBIZA WAJELAJELA


Yanga imefanikiwa kuchukua points 3 baada ya kuichapa Magereza almaaruf kwa jina la Prisons au Wajelajela 2-1...Mechi ilikuwa kali sana na pande zote zilistahili pongezi kwa kujituma na kucheza soka safi....Huu ni ushindi wa 1 kwani walishindwa kuchukua points 3 mechi yao ya kwanza dhidi ya Mtibwa Sugar au Wakata Miwa...


Yanga ndio walioanza kuona lango la mwenzie baada ya Mrisho Ngasa kufanyiwa ndivyo sivyo na refa akatoa free-kick...Dead ball ilipigwa na mchezaji mpya wa Yanga kutoka Brazil Andrey Coutinho na kuwanyanyua mashabiki wa Yanga baada ya kupachika bao hilo dakika ya 34...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment