Monday 15 September 2014

BOXING: FLOYD MAYWEATHER, JR. VS. MARCOS MAIDANA


Kama ulikosa kuangalia pambano kali la marudiano kati ya bingwa Floyd Mayweather, Jr na Marcos Maidana ndani ya MGM Grand huko Las Vegas sasa kupitia Max Sports unaweza kuona jinsi gani Mayweather alivyo kusanya points zilizompa ushindi...Pambano lilikuwa na vituko vya hapa na pale...

No comments:

Post a Comment