Friday 19 September 2014

EUROPA LEAGUE: EVERTON YAFANYA KWELI



The Toffees walikuwa under control baada ya kuwachapa Wolfsburg ya Germany 4-1...Everton wanarudi Europa toka 2010...Own goal kutoka kwa Ricardo Rodriguez dakika ya 15 na bo kutoka kwa Seamus Coleman dakika ya 45' ziliwaweka Eerton mbele kipindi cha kwanza...Mwanzo wa kipindi cha pili Everton walipata penalty na Leighton Baines alipachika bao na mwishoni Eto'o alitoa pasi safi kwa Kevin Mirallas na akatingisha nyavu...Rodriguez wa Wolfburg alifanikiwa kuchomeka bao la kufuta machozi dakika ya 90...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment