Thursday 11 September 2014

FIBA: FRANCE YAIANGUSHA SPAIN


Katika dunia ya mchezo wa basketball Spain na Marekani huwa ndio zinasumbua sana nchi nyingine lakini kipindi hiki cha michuano ya kombe la dunia la basketball France wamegeuza kibao na kuwachapa Spain...Spain ambao ni wenyeji wa michuani hii walichapwa 65-52 na France timu ambayo watu wengi walijua wangechapwa tu lakini walikomaa na kuchukua ushindi mkubwa sana...Sasa France watakutana na Serbia katika nusu fainaili na Marekani watacheza na Lithuania...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment