Thursday 25 September 2014

CAPITAL ONE CUP: MAN CITY YAFANYA KWELI

Mchezaji mpya wa City
Jose Angel Pozo akipachika bao la 6...
Manchester City imesambartisha na kuigaragaza Shefield mabao 7 kwa mtungi (0)...Magoli yote yalipatikana kipindi cha 2...Frank Lampart alipokea cross kutoka kwa James Milner na kufungua dimba...Dzeko na akafuata baada ya pasi safi kutoka kwa Navas na bao la 3 lilitoka kwa Jesus Navs...Kamil Zayate alimkwaa Frank Lampard na City wakapewa penalty dakika ya 60 na Yaya Toure hakufanya kosa na bao la 4 likaandikwa ubaoni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment