Monday 8 September 2014

EURO 2016: SCOTLAND YACHAPWA NA GERMANY

Ikeshi Anya akipachika bao...
Mabingwa wa dunia Germany walianza vizuri Euro 2016 qualifier baada yakuwachapa Scotland mabao 2-1...Germany waikuwa makini sana na wakapata bao kipindi cha 1 kupitia Thomas Muller...Kipindi cha pili Scotland walijitahidi na kusawazisha kupitia Ikeshi Anya dakiaka ya 66...Lakini beki ya Scotland haikuwa makini sana na Thomas Muller tena dakika ya 70 akawaweka Germany mbele...Germany ndio waliokuwa wakicheza vizuri na kuwa na possession ya 69%...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment